Bunge la Tanzania kujadili mipango ya Taifa.

Bunge la Tanzania kujadili mipango ya Taifa.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo litaanza kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.

Bunge pia litaanza kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 hukku mijadala kuhusiana na mapendekezo hayo utafanyika kwa muda wa siku nne kabla ya Bunge kupitisha mapendekezo hayo ili Serikali ianze kuyatekeleza.

Related Articles

Visitor Counter

000833
Today: 3
Yesterday: 6
This Week: 41
Last Week: 60
This Month: 165

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz