Wananchi kata Madibira halmashauri ya Mbarali jijini Mbeya waomba uchunguzi vifo vya kutatanisha:  RC- Homera atoa tamko.

Wananchi kata Madibira halmashauri ya Mbarali jijini Mbeya waomba uchunguzi vifo vya kutatanisha: RC- Homera atoa tamko.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera ametaka uchunguzi ufanyike ili kubaini wanao husika na mauaji ya kutatanisha katika kata ya Madibila wilayani Mbarali mkoani Mbeya na kuagiza watakaobainika kushiriki mauaji hayo kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani humo  kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero mabalimbali za wananchi.

Kwa upande wake Polisi kata wa eneo hilo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la polisi Julius Mongo, amekiri kuwepo kwa mauaji hayo ambapo amesema jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi watahakikisha wanafanya jitahada za kukomesha vitendo hivyo ikiwemo kuchukua hatua madhubuti kwa watakao bainika.

Related Articles

Visitor Counter

000833
Today: 3
Yesterday: 6
This Week: 41
Last Week: 60
This Month: 165

Opening Hours

  • Monday: 8.30am–6.30pm
  • Tuesday: 10.00am–8.00pm
  • Wednesday: 8.30am–6.30pm
  • Thursday: 8.30am–7.00pm
  • Friday: 8.30am–3.00pm
  • Saturday: 8.30am–2.00pm
  • Sunday: 8.30am–2.00pm

Contact Us

Kanani A Road, Mumasama Street,

P.O.BOX, 137

Ngara, Tanzania

Mobile:  +255 744 172 741

Email: info@ishizwemedia.co.tz